Burudani

Ali kiba anyanyua nyota ya mdogo wake

kiba_aslay_wawili
mwanamuziki Alikiba amekuwa akimtumia mdogo wake Abdul kiba katika kumpokea mashairi ‘Back’ ili kuweza kumtambulisha zaidi mdogo wake kwenye muziki baada ya nyota yake kuwa juu . Mwanamuziki huyo amekuwa akienda sambasamba na mdogo wake katika kila tamasha, kama ilivyokuwa kwa Joh Makini na Niki wa pili.


Jana pia walikuwa sambamba kwenye tamasha la Maisha Club, wakati walipokuwa wakiwashindikiza furaha ya wanafunzi waliomaliza mtihani wa kidato cha nneĀ  mwezi huu.

kiba_aslay_tox_c

Tox akisubiri kupanda jukwaani

kiba_aslay_mr_india
Mr India au Sulesh aliyetengeneza kitu Naenda kusema cha Aslay akiwa na Abdul Kiba… hawa ni maswahiba wa muda mrefu na wametoka mbali kwenye muziki….
kiba_aslay_group

Yeh!!! Walimaliza hivi kabla ya kuondoka

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents