Habari

Airtel yatangaza tano bora ya shindano la Airtel Trace Music Stars

Kampuni ya simu ya mkononi imetangaza washiriki walioingia tano bora
katika shindano la Airtel Trace Music star shindano lenye lengo la kusaka na kuibua vibaji kwa wanamuziki chipukizi.

picture 3
Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki waliongia 5 bora katika mashindano ya kuvumbua vipaji vya mziki ya Airtel Trace Music Strars fainali za mshindano hayo zinategeme kufanyika mwanzoni mwa mwezi wa pili kulis ni Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga

Shindano hilo lililozinduliwa rasmi mwaka jana Oktaba limefika katika hatua za fainali ambapo mshindi wa Airtel Trace Tanzania atapatikana katika finali inayotegemea kufanyika mwanzoni mwa mwenzi wa pili mwaka huu ambapo mshindi huyu ataenda kushiriki mashindano ya Airtel Trace Music Stars Afrika yatakayoshirikisha washiriki wengine kutoka nchi 13 barani Afrika.

picture 2 T
Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza majina ya washiriki walioingia 5 bora katika mashindano ya Airtel Trace Music Stars akishuhudia

Akiongea na waandishi wa habari Meneja Masoko wa Airtel Bi Aneth Muga
alisema, “leo tunayofuraha kubwa kutangaza majina ya washiriki waliofanya vizuri katika mashindano haya na kupata nafasi ya kuingia katika tano bora na kuweza kumpata mmoja kati yao atakaeibuka na ushindi wa kuiwakilisha nchi yetu katika mashindano ya Airtel Trace Afrika.”

Akiendelea kufafanua Aneth alisema, “Washiriki hawa watano ni kati ya wengi waliothubutu kuonyesha uwezo wao wa kushiriki kwa kupiga simu, kuimba na kutuma nyimbo zao na hatimae majaji wamesikiliza vipaji vyao kama walivyoimba na kuwachagua kuingia tano bora (top 5), sasa kura nyingi toka kwa watanzania ndio itakayomuwezesha mmoja wao kupata uhindi wa kwanza wa Airtel Trace Tanzania.

Mashindano haya yana lengo la kuinua vibaji vya musiki kwa vijana wetu kuzifikia ndoto zao na kuwawezesha kuonyesha vipaji vyao ndani na nje ya nchi. Airtel tunajisikia furaha kuwa sehemu ya mafanikio yao na sehemu ya kuinua vipaji vya wanamuziki chipukizi kwa kupitia mashindano haya ya Airtel Trace Music Stars. Napenda kuwapongeza na kuwatia hamasa wale wote walioshiriki na pia hawa waliofanya vizuri na kufika katika hatua hii muhimu ya mashindano haya.”

picture 1
Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza majina ya washiriki walioingia 5 bora katika mashindano ya Airtel Trace Music Stars , akishuhudia Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga

Akitangaza majina ya walioibuka kwenye tano bora Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando alisema, ” tunawashukuru watanzania na wanamuziki chipukizi kwa kushiriki katika shindano hili na mpaka sasa tunaovijana wengi waliojaribu kuonyesha uwezo wao wa kuimba, lakini kama mnavyofahamu haya ni mashindao hivyo napenda kuwaleta kwenu wale waliofanya vizuri zaidi na kuingia katika hatua hii ya mchuano mkali waliobahatika kuingia tano bora ni pamoja na Nalimi Mayunga mwenye namba ya ushiriki (YUN), Christopher Kihwele (TOJ), Tracy Eminence (MHR), Beautus Henry (BOB) na Rose Mbuya (ROS).

Natoa wito kwa watanzania , wadau mbalimbali na wapenzi wa muziki kuwapigia kura washiriki hawa kwa kupiga kutuma sms yenye jina la fumbo la mshiriki kwenda kwenye namba 15594.

Hii ni nafasi ya pekee kwa watanzania kuonyesha uwezo na vipaji vyao katika anga za Afrika hivyo ni matumaini yetu kuwa washiriki hawa watajifua vyema ili kufanya vizuri katika mashindano ya Afrika pindi mshindi atakapo patikana.

Akiongea mara baada ya kutangaza kuwa moja ya tano bora Christopher Kiwhele alisema, “najisikia furaha sana kupata nafasi hii ya kuwa moja ya tano bora, kwakweli kwangu ni kama ndoto, siamini kama nimeweza kufudhu ma kufika katika hatua hii kubwa, na amini ntaendelea kufanya vizuri kwani naendelea kujiandaa vyema, nimetamani sana kuwa mwimbaji nyota na mwimbaji anayenivutia zaidi ni Ed sheeran naamini kupitia mashindano haya ntafika mbali na kutumiza ndoto zangu. Nawaomba watanzania watuunge mkono na kutupigia kura ili kuendelea kufanya vizuri na hatimae kuwakilisha nchi yetu vyema katika mashindano ya Afrika.

Washiriki tano bora wa Airtel Trace music Star sasa wako kambini ambapo wanapata mafunzo yatakayoendelea hadi fainali inayotegeme kufanyika tarehe 7mwenzi wa pili 2015 jijini Dar es Saalam.

Related Articles

20 Comments

  1. I’ve been having issues with my Windows hosting. It has set me back quite a bit while making the next list. This is the current list that I have. I should add another list in less than a week. I’ll let you all know when the next list is ready. Thank you for your patience.

  2. Cool! Interesting tips over here. It’s pretty worth enough for me. Personally, if all webmasters and bloggers made good content as you did, the internet will be a lot more useful than ever before. I couldn’t resist commenting. I have spent some time trying to find such tips. I will also share it with a couple of friends interested in it. I have just bookmarked this website. Right now with the search done, I’ll visit some online gay webcams. Thanks!! Greetings from San Francisco!

  3. I would like to thank you for giving us such a great explanation. You are doing good job. Keep write article like this one! I have bookmark this blog for New update about SEO…

  4. Cool info! Interesting informations over this site. It is pretty worth enough for me. In my view, if all website owners and bloggers made good content as you did, the internet will be much more useful than ever before. I could not refrain from commenting. I’ve spent 1 hour looking for such article. I will also share it with a couple of friends interested in it. I have just bookmarked this website. Now with the job done, I going to find some model gay cams. Thank you!! Greetings from Florida!

  5. I would like to thnkx for the efforts you have put in writing this website. I am hoping the same high-grade web site post from you in the upcoming as well. In fact your creative writing skills has inspired me to get my own website now. Really the blogging is spreading its wings quickly. Your write up is a great example of it.

  6. Excellent weblog right here! Additionally your site so much up very fast! What host are you the usage of? Can I get your associate hyperlink on your host? I desire my website loaded up as quickly as yours lol

  7. Paykasa, 16 haneli pin kodundan oluşan, daha önce çok yaygın olarak kullanılan bir ön ödemeli kart türüne benzeyen, içerisinde euro bakiyesi olan bir ön ödemeli sanal karttır. İçerisindeki bakiyeler özel olarak üretilemediği için standart kart bakiyeleri 10, 20, 50, 100, 150, 250 tek kart bakiyesi olarak satılmaktadırlar. Tek kullanımlık bir kart olan paykasa kart, kullanılan sitede kartın bakiyesini girmenize gerek kalmadan sadece 16 haneli tek kullanımlık koduyla işlem yapmanıza olanak sağlamaktadır.

  8. Cool info! Interesting tips over this site. It is pretty worth enough for me. In my opinion, if all site owners and bloggers made good content as you did, the net will be much more useful than ever before. I could not resist commenting. I have spent 3 hours trying to find such tips. I will also share it with some friends interested in it. I’ve just bookmarked this website. Now with the job done, I going to enjoy some online sexy hot gay cams. Gracias!!! Greetings from Los Angeles!

  9. I like it! Interesting info over here. It is pretty worth enough for me. Personally, if all site owners and bloggers made good content as you did, the internet will be much more useful than ever before.| I couldn’t refrain from commenting. I ‘ve spent 3 hours trying to find such informations. I’ll also share it with some friends interested in it. I’ve just bookmarked this web. Right now with the work done, I’ll visit some model gay webcams. Thank you very much!!Greetings from Los Angeles!

  10. Cool info! Interesting information over this website. It’s pretty worth enough for me. In my view, if all webmasters and bloggers made good content as you did, the net will be much more useful than ever before.| I couldn’t resist commenting. I have spent 3 hours trying to find such infos. I will also share it with some friends interested in it. I’ve just bookmarked this web. Right now with the task done, I’ll find some model gay webcams. Merci!!Greetings from New York!

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents