Promotion

Airtel waandaa kupeleka watoto Manchester

Airtel_kiduku
Airtel Rising Stars, jana imezindua michuano ya kuwatafuta wachezaji sita ambao watajiunga katika na timu ya  Manchester Academ, iliyopo Uingereza. Watoto kutoka amikoa mikoa minne ambayo waliunda timu nne, Mbeya Iringa Mwanza na Dar es salaam, jana walianza michuano hiyo kwaajili ya kufanikisha katika kutafuta masuper star hao.


Airtel siku zote imekuwa ikifufua vipaji vichana na kuonyesha mwanga kwa jamii kwamba wanania ya dhati kusaidia taifa katika michezo mbalimbali ikiwemo mpira. Michezo itachezwa ndani ya wiki moja yaani inategemewa kuisha tarehew25 mwezi huu, Hao ndiyo Airtel wanasema hamia sasa wewe jamaa, ndugu na hata mifugo yako…

Airtel_kipa
Kipa akichukua mazoezi.
Airtel_mchezaji
mchezaji wa Morogoro akichukua mazoezi
Air_tell_bango
Wanchi wakiangalia mazoezi na michezo wakati wa uzinduzi.
Air_tel_tmk
Wasanii wa Tmk wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa michezo hiyo
Aitel_Morogoro

Airtel_mwanza

Kama ilikuwa haitoshi, hebu angalia kiduku cha mtaani kutoka kwa watoto hawa

{hwdvs-player}id=1634|width=560|height=340{/hwdvs-player}

Dogo Aslay naye aliachia mojamoja…

{hwdvs-player}id=1635|width=560|height=340{/hwdvs-player}

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents