Burudani
Airtel Fursa yaendelea kuwawezesha vijana kufikia ndoto zao
Tazama video hii kuona Airtel Fursa ilivyomuwezesha kijana Golisten Kimaro fundi welding kufikia ndoto zake kwa kumpatia elimu ya ujasiriamali pamoja na vifaa vya kisasa Compressor, Generator na Drilling Machine.
Airtel Fursa ni mradi wa kijamii wenye dhumuni la kuhamasisha vijana, kuwapa nafasi ya kujiendeleza kibiashara na ujuzi utakoawawezesha kuimarisha biashara zao. Bofya hapa: http://goo.gl/ECdVkc na wewe ukamate fursa na Airtel