Habari

Africa’s 50 Richest (Forbes 2014): Rostam, Dewji, Bakhresa na Mengi waingia!

Orodha mpya ya watu 50 tajiri zaidi barani Afrika, Africa’s 50 Richest imetolewa wiki hii.

rostam-azizi_416x416
Rostam Aziz

Watanzania wanne wameingia kwenye orodha hiyo iliyoongozwa na mfanyabiashara wa Nigeria, Aliko Dangote mwenye utajiri ufikao dola bilioni 21.6.

Rostam Aziz ameendelea kuwa mtu tajiri zaidi nchini Tanzania na kukamata nafasi ya 26 kwenye orodha hiyo akiwa na utajiri wa dola bilioni 1. Mohammed Dewji amemfuata kwa mbali na kukamata nafasi 31 kwenye orodha hiyo kwa utajiri wa dola milioni 800.

Said Salim Bakhresa ameshika nafasi ya 44 akiwa na utajiri wa dola milioni 575 na kufuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi katika nafasi ya 45 akiwa na utajiri wa dola milioni 560.

Soma orodha nzima hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents