Bongo Movie

Abby Kazi aja kivingine

Abby_Kazi

Mtengezaji wa filamu katika studio ya Kiumbe Rec, Abby Kazi amesema kwa sasa hivi mashabiki wake wasubiri kazi mpya ambayo anatarajia kuanziasha katika stesheni ya Tv.  Amesema kazi hiyo ambayo, anataka iwe kama kipindi  katika  stesheni  ya Tv, na kiwe kinarushwa kila siku kwa lengo la kuleta buludani zaidi, ambacho  kitakuwa kama mtindo wa majadiliano ya washikaji wa mtaani kuhusiana na jambo lolotoke ambalo litakuwepo kama mada kuu.

 


Anasema kipindi hicho anatengemea kitakuwa kinapata Air Time katika kuonyeshwa kwenye stesheni ya  TBC 1.

 

Hata hivyo aliongezea kwa kusema filamu yake aliyoandaa chini ya Kiumbe rekodi, ipo karibuni kutoka ameomba mashabiki waweze kuinunua na kupata mambo mapya kabisa katika ulimwengu wa filamu.

Abby_kazi_na_Dj_Choka

Abby Kazi akiwa na Dj Choka

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents