8figure
 |
Created On: 17/11/2008 11:44:47
Duh! hao wa EPA kazi ipo!! Sio kama sijafunga kifungo pale hapana kifungo tunaenda na wakati pale napunga hewa huku kwetu jua kali na joto sana so mavazi ndio kama unavyoniona chalaaa angu!!
|
debra
 |
Created On: 17/11/2008 11:24:07
Tarime imekushinda cjui ss next chaguzi itakuweje???
Langu sikio tuu mie!
Poleee ehhhh
Weye ukwapi weye??
|
8figure
 |
Created On: 30/10/2008 14:55:01
Wewe hiyo kampeni bado?
|
Ngweno
 |
Created On: 06/09/2008 15:53:52
kidumu chama cha mapinduzi
|
mapozi
 |
Created On: 08/08/2008 18:10:59
WEWE UNALETA MAMBO YA CHAMA
|
| halfa k |
Created On: 01/08/2008 18:35:11
habari mkuu
Tabora vipi mkuu
mimi nilisoma Tabora mjini
so naifagilia Tabora mkuu
|
8figure
 |
Created On: 01/08/2008 08:48:08
Mmh umeadimika kama mkojo wa samaki? Vp au ndio kampeni??
|
Yassern
 |
Created On: 12/07/2008 20:10:02
wewe naona ulifungiwa huko kwa wale mapadri wa pale kipalapala,maana husikiki,au umeenda ntutuo,au umeenda ulyankulu? haha!kidumu chama kilichotulea ..hha!peace,luv,respect..unity..pamoja!
|
mtonikitambo
 |
Created On: 09/07/2008 03:07:06
duh mzee wako mjumbe wa shina nini,,,usikonde pamoja baba carine
|
debra
 |
Created On: 03/07/2008 10:08:39
heheheee...nakuja sasa hivi........kojozi bwana!!
|
Yassern
 |
Created On: 01/07/2008 06:26:42
du!mwadila mayu! kupanga kurugo?mkuu!ohayogozaimasu!genki desuka?mzee umenikumbusha mbali sana,kipalapala kule kwenye kambi ya maaskofu?nimecheza sana basketball kule haha!poa kaka,nimepita kukusalimia tu,peace,luv,respect,unity..pamoja!
|
Mwajei
 |
Created On: 30/06/2008 12:36:37
Chama chetu cha mapinduzi cha jenga chini...CCm ehh CCM ya jenga nchi...(naikumbuka songi hiyo) aminia ...CCM oyee wangu
|
liamy
 |
Created On: 16/06/2008 16:48:17
hi CCM OYEEEEEE kidumu chama tawala.......
|
sezero
 |
Created On: 02/06/2008 12:01:36
man cja potea ila 2shughuli twa kujenga taifa le2 wanalo liita changa wakati limesha zeeka kwa kuliwa na mafisadi
|
sezero
 |
Created On: 29/05/2008 20:28:11
kojozi mpe hi sex look mtoto wa tanga mwambie nimemmiss
|