Archive for March, 2011
-
LATEST ARTICLES
 
featured image

20% apata mialiko na viongozi wa juu

by adminon March 31, 2011 - 11:41 am
Mwanamuziki Twenty Percent aka Abbas Kizansa, amesema amefurahia sana kupata tuzo tano katika kinyang’anyiro cha Kilimanjaro Music Award na kusema sasa ametiwa moyo kwa kazi anayoifanya, na kutimiza lengo lake alilokuwa a...

featured image

Hemed Akatazwa kuigiza na mama yake

by adminon March 31, 2011 - 11:25 am
Mwanamuziki wa kizazi kipya na mwigizaji katika filamu Hemedi, amesema anamalizia mkataba wake wa mwisho na filamu na kuachana nayo kabisa kazi hiyo ya uigizaji, kutokana na mama yake kutopendezewa na sanaa hiyo.

featured image

Wasafi kufunika Bili

by adminon March 31, 2011 - 11:00 am
mwanamuziki kutoka kundi la Wasafi, Daimond, akiwa na Shetter pamoja na Hemedi Selemen ‘Phd’ wanatarajia kufanya bonge la tamasha katika usiku wa jumapili, katika ukumbi wa Bilicanas wakiwa kama kundi jipya la Wasafi

featured image

Sharobaro V Wasafi

by adminon March 27, 2011 - 1:02 pm
Ule ufa ambao mdogoo lakini mara nyingi, ulikuwa ukijitanua polepole kutaka kutoa mpasuko, sasa neno limeshatimia kwa mpasuko wenyewe kujitokeza na kuwa mkubwa kati ya Sharobaro na WASAFI yaani Bab Junior mmiliki wa studio ya S...

featured image

Washindi wa Kili wapatikana

by adminon March 27, 2011 - 12:44 pm
Hakika tarehe 26 mach 2011 imeshapita na Tuzo za Kilimanjaro Music Award nazo ndizo zimesha ‘ yeya’,  ilikuwa shangwe na furaha na hata wengine kumwaga machozi pindi walipokuwa wakipokea tuzo zao, si hivyo tu, kuna ...

featured image

Maandalizi Kili Music Award 2011

by adminon March 25, 2011 - 5:08 pm
Maandalizi ya tuzo za Kilimanjaro Music Award ndiyo yanafikia ukingoni ilikupisha tamasha zima la liweze kufanyika siku ya juma mosi Mach26 kwa mwaka huu 2011. Nafasi za kupiga kura zilishatolewa sehemu mbalimbali, ili kila mmo...

featured image

WAPIGIE KURA KILI MUSIC AWARD

by adminon March 21, 2011 - 3:33 pm
  Wimbo bora wa Ragga; My Friend no,L159 (Unaandika namba ya msanii unayemtaka kisha unatuma kwenye namba namba15747.) Fid Q, Msanii bora wa Hip hop No; N139  

featured image

Abby Kazi aja kivingine

by adminon March 21, 2011 - 3:22 pm
Mtengezaji wa filamu katika studio ya Kiumbe Rec, Abby Kazi amesema kwa sasa hivi mashabiki wake wasubiri kazi mpya ambayo anatarajia kuanziasha katika stesheni ya Tv.  Amesema kazi hiyo ambayo, anataka iwe kama kipindi  katika...

featured image

Ay na Fa ndani X bongo nite

by adminon March 21, 2011 - 3:06 pm
Mkali wa Falsafa na mkali wa staili walipokutana jukwaa moja, yaani Ambwene Yesaya ‘Ay’ na Hamisi Mwijuma ‘Fa’, hakika ilikuwa buludani ya aina yake katika  usiku wa X BONGO NITE, pale New maisha club kw...

featured image

Ajali ya Zong Hua Garden

by adminon March 21, 2011 - 2:49 pm
Wakati natoka X BONGO NITE, pale New Maisha club yapata kama saa kumi na nusu hivi usiku wa mach 21, ndipo nikakutana na ajali maeneo ya barabara ya Morocco karibu na Zong Hua Garden, ajali ambayo ilisababishwa na mwenye pikipi...

featured image

Ay na Fa kuwasha moto Maisha Club

by adminon March 19, 2011 - 10:01 am
mwanamuziki Hamisi Mwijuma ‘Mwana Fa’ na Ambwene Yesaya ‘Ay’ wanatarajia kuwasha moto wa nguvu katika tamasha la X BONGO NITE, pale New Maisha  Club katika LEVO za JUU. Fa anasema si la kukosa kwani usik...

featured image

Sikinde wakishikana na Msondo

by adminon March 19, 2011 - 9:38 am
Bendi ya muziki wa dansi ya Sikinde, ilikuwa ikivaana na Msondo katika usiku wa mach 18, 2011 wakati tayari wakiwa na pengo kubwa la kuondokewa na kiungo wao Shaban Dede, lakini hata hivyo hawakubabaika na kushikamana vizuri ka...

featured image

Msondo ilipomvaa Sikinde

by adminon March 19, 2011 - 9:30 am
Bendi ya musiki wa dansi Msondo Ngoma, wakisababisha katika usiku wa mashindano ambayo yalifanyika katika Ukumbi wa Daimond Jublie usiku ya mach 18, ikichuana vikali na Bendi ya Sikinde huku mkali wa Sikinde Dede, akiwa ndiyo k...

featured image

Kiza Kinene asema na Bongo5

by adminon March 16, 2011 - 4:58 pm
Mkari wa ndundi ambaye inasemekana alikimbia katika usiku wa tarehe 12, pale DDC Mlimani City, Kiza Kinene ameibuka na kusema hakukimbia katika Pambano hilo ila walishindana katika masuala ya Malipo, ambayo ndiyo yaliyoleta kik...

featured image

Pina kuizindua albamu

by adminon March 16, 2011 - 4:40 pm
Mkari kutoka katika Kikosi cha Mizinga aka 41 ,Karapina anatarajia kufanya ‘Bonge’  la onyesho la Hip hop litalokusanya  wanaharakati wa Hip hop toka Afrika Mashariki, katika uzinduzi wa albamu yake ya Nyimbo Tosha ...

featured image

Zamu ya Dulayo Bilis

by adminon March 16, 2011 - 4:09 pm
Mkari wa muziki wa ‘Kupari’ Dullayo anatarajia kuanguka pale Club Bilicanas na  nyimbo zake, ilikuonyesha uwezo wake akiwa stejini .

featured image

Ay atikisa India

by adminon March 16, 2011 - 3:59 pm
Mwanamuziki anayetisha katika miondoko ya Bongo Fleva, Ambwene Yesaya ‘Ay’ amerudi Indi katika shoo aliyoenda kuifanya na kusema hakika ilikuwa bonge la shangwe. Ay alitutumia picha hizi, ilikuonyesha jinsi gani ana...

featured image

Bonanza la waandishi lafana

by adminon March 14, 2011 - 12:06 pm
Siku ya jumamosi tarehe 12 mach waandishi walikuwa wakisherehekekwenye bonanza linalo fanyika kila mwaka, huku wakidhaminiwa na kampuni ya bia Tanzania, tamasha hilo linakusanya waandish kutoka stesheni mbalimbali za Tv, Redio ...