Archive for October, 2010
-
LATEST ARTICLES
 
featured image

Moze Radio na Weasle ndani ya Maisha!!

by adminon October 29, 2010 - 4:13 pm
  Kundi la wasanii kutoka Uganda  leo wanatarajia kufanya shoo usiku katika Ukumbi wa Maisha Club, Penniel Mungilwa afisa habari wa Maisha Club aliongea na waashindi wa habari na kuwatambulisha wasanii hao kutoka Uganda.

featured image

Happy Birthday Mpoto

by adminon October 27, 2010 - 12:25 pm
  Leo ni sikukuu ya kuzaliwa ya Msanii na mtunzi wa mashairi maarufu Tanzania, Mrisho Mpoto.

featured image

Pweza Paul afariki

by adminon October 27, 2010 - 12:21 pm
Pweza Paul, almaarufu kama ‘The Oracle’, aliyekuwa mtabiri mahiri amefariki pande za Ujerumani katika Sea-Life Center jijini Oberhausen.

featured image

Monalisa ajifunza Kamera

by adminon October 27, 2010 - 12:16 pm
  Muigizaji bora wa kike wa Ziff mwaka 2010, Monalisa sasa ameibuka na fani nyingine tofauti na kuigiza ambayo ni kushika camera na kurekodi movie.

featured image

Tanzanian Reality show

by adminon October 27, 2010 - 12:10 pm
”Jina langu ni Johnson Lujwangana naishi Mount Vernon, New York nafanya show inayonesha maisha ya familia inayotoka Africa hapa marekani.

featured image

Tanzanian Reality show

by adminon October 27, 2010 - 12:10 pm
“ina langu ni Johnson Lujwangana naishi Mount Vernon, New York nafanya show inayonesha maisha ya familia inayotoka Africa hapa marekani.”

featured image

Mandojio afungwa Singida?!

by adminon October 27, 2010 - 12:06 pm
Ni masikitiko kwa wasaniii na jumuiya ya Bongo Flava kwani mchizi aliyepandisha wazimu kwa ngoma ya ‘Nikupe Nini’ a.k.a ‘Kanikamulie maji ya ndimu nina kiu koma’, Joseph Michael  ‘Mandojo’ in...

featured image

RIP Gregory Isaacs

by adminon October 27, 2010 - 11:57 am
  Mwanamuziki mkongwe wa Reggae anayetoka Jamaica, Gregory Anthony Isaacs amefariki dunia tarehe 25 Oct 2010 nyumbani kwake jijini London, Uingereza akiwa na miaka 59.

featured image

Rais Museveni Rapper?!?

by adminon October 27, 2010 - 11:33 am
Hapa juzi kati katika sherehe za Chama tawala cha Uganda NRM, mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni Rais ya Uganda, Mh. Yoweri Museveni aliangusha mashairi makali ya rap na kuwaacha mashabiki wamepagawa.(Sikiliza hapa)

featured image

Videos: Biafra kuwaka moto

by adminon October 25, 2010 - 10:50 am
Zaidi ya wasanii 20 wa kizazi kipya nchini Tanzania juzi walipanda katika jukwaa moja kuhamasisha vijana kuhusu upigaji wa kura ifikapo siku ya uchaguzi mkuu wa taifa unaotarajiwa kufanyika Oktoba 31 nchini kote.

featured image

Nicki Minaj kutua Bongo?!

by adminon October 25, 2010 - 10:33 am
  Yasemekana kwamba msanii wa kike wa Hip Hop kutoka nchini Marekani Nicki Minaj anatarajiwa kuja nchini Tanzania kupiga shoo mwezi wa kwanza Mwakani.

featured image

Road To MAMA 2010..noma!!

by adminon October 25, 2010 - 10:29 am
  Sherehe za awali ambazo huandaliwa na kituo cha televisheni cha MTV Base Road To MAMA zinatarajiwa kuwa baab kubwa, zaidi ya wasanii wanne wa kimataifa wanatarajiwa kutua bongo kupiga shoo katika wiki ya pili ya mwezi wa...

featured image

Timu ya Golf Taifa yakabidhiwa Bendera

by adminon October 22, 2010 - 9:11 am
  Kikosi cha Taifa cha mchezo wa Gofu cha wanaume kinatarajiwa kukabidhiwa bendera kwaajili ya kushiriki mashindano ya Dunia yatakayo fanyika Nchini Aregentina kuanzia kesho kutwa.

featured image

Alicia Keys apata Baby Boy

by adminon October 22, 2010 - 9:06 am
  Alicia Keys na Mume wake, Producer Swizz Beatz wamebrikiwa mtoto wa kiume.

featured image

Salma Apewa taji la utalii Tanzania

by adminon October 22, 2010 - 8:53 am
  Bodi ya Utalii nchini Tanzania TTB jana imemkabidhi zawadi ya Domestic Tourism 2010 kwa Salma Mwakalukwa akiwa mshindi wa taji hilo katika shindano la Miss tz 2010, kwa kukidhi  vigezo vilivyowekwa.

featured image

Mwisho back Home

by adminon October 22, 2010 - 8:45 am
Mshiriki katika shindani la Big Brother All Stars kutoka Tanzania, Mwisho Mwampamba aliwasili nchini jana na kupokelewa na baba yake  mzazi pamoja na ndugu zake mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere.

featured image

Alikiba kupiga kazi Marekani

by adminon October 20, 2010 - 8:45 pm
  Mwanamuziki mkali wa Kitanzania Ali Kiba anatarajiwa kwenda Chicago nchini Marekani kuungana na wanamuziki wengine maarufu wa Afrika akiwemo Amani (Kenya), Navio (Uganda), Fally Ipupa (RDC), 2 Face (Nigeria), JK (Zambia)...

featured image

AY na Sean Kingston Collabo?!

by adminon October 20, 2010 - 8:43 pm
  Inasemekana kwamba mzee wa commercial AY anatarajia kuelekea mjini Miami nchini Marekani siku za karibuni kwa ajili ya kumsikilizisha Sean Kingston ngoma zake mpya 3. Kuna uwezekano kwamba mtu mzima Sean Kingston atachag...