• Wazee wa masauti kukamua Bills

  Bendi ya muziki wa dansi ya Akudo Impact ‘Wazee wa Masauti’, kesho inatarajiwa kutoa burudani ya aina yake katika usiku wenye mahadhi ya Kiafrika ‘Serengeti...

 • Sheikh Yahya azushiwa kifo

  Mnajibu maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein, amezushiwa kufariki dunia jana akiwa nchini Dubai.

 • Uhuru Mabingwa

  Fainali za kombe la NSSF zilizofanyika kwenye viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe jana ziligeuka uwanja wa mapambano kati ya wabunge wa CCM, katika fainali hizo...

 • Chingy ndani ya Leaders!

  Inasemekana kwamba msanii wa Hip Hop kutoka Marekani Chingy atadondoka Bongo wiki ijayo na kutumbuiza katika onesho ndani ya Leaders Club.

 • Chenge akutwa na balaa jingine

  Jeshi la polisi jijini Dar es salaam linamshikilia aliyekuwa Waziri wa Miundombinu Andrew Chenge kwa tuhuma za kusababisha ajali iliyopelekea wanawake wawili kupoteza maisha papo...

 • Darasa la Kili Music Awards

  Washiriki waliopendekezwa kuwania tuzo katika shindano la Kili Music Awards mwaka 2009, majuzi walipewa somo juu na namna ambavyo mashindano hayo yatakavyoendeshwa kwa mwaka huu.

 • Usalama majini umeboreswa

  Pichani kutoka kulia: Mkurugenzi wa Sumatra Israel Sekirasa,Waziri wa Miundombinu Dkt.Shukuru Kawambwa, Katibu Mkuu wa IMO Efthimios Mitropoulos, Meneja wa Bandari Jason Rugaihuruza. Waziri wa...

 • MV Magogoni ikipiga mzigo

  Pichani ni kivuko kipya cha MV Magogoni  ambacho kina uwezo wa kubeba abiria 1,000 na magari zaidi ya 50.

 • Dunga amerudi kwao?

  Inasemekana kuwa Ambros Nkwabi aka Dunga ameamua kurudi nchini kwao Kenya baada ya kupiga mzigo kwa miaka mitatu mfululizo na kuproduce hits kibao ndani ya...

 • Dida Matatani

  Inasemekana kwamba mtangazaji maarufu wa Times FM, Dida wa Mchops (Hadija Shaibu), alisimamishwa na kukamatwa na Polisi Jumatano huko Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

 • Mgao umeanza tena

  Tanesco limeanzisha mgawo wa dharura wa umeme kwa jiji la Dar es Salaam kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nane mchana na pia kuanzia saa...

 • Aliyekamatwa UK siyo Matonya

  Kwa muda wa zaidi ya wiki sasa kumekuwa na maneno mitaani kwamba mtu mzima Matonya alikamatwa nchini Uingereza na madawa ya kulevya, hayo yote siyo...

 • Hoteli zateketea Bagamoyo

  Leo asubuhi hoteli mbili maarufu, Paradise Beach Resort na Oceanic Bay, ziliteketea kwa moto huko Bagamoyo.

 • Mama aomba msaada wa Rais Kikwete

  Mama mzazi wa kijana Ibrahim Said aliyempiga kibao Rais mstaafu Mwinyi, alitinga Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) kumsihi Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban...

 • Tunamsaka Miss Kigamboni 2009

  Wadau wa Bongo5, tunapenda kuwatangazia ya kwamba mwaka huu kampuni yetu ya Bongo5 Media Group imeamua kuandaa taji la kumtafuta Miss Kigamboni inayotarajia kufanyika mwishoni...

 • Vodacom kuongeza udhamini wa Miss Tanzania

  Jana jioni Vodacom wametangaza kuongeza mkataba wa kudhamini mashindano ya Miss Tanzania kwa muda wa miaka miwili. Waliyoangusha wino katika mkataba huu ni Hashim Lundenga...

 • Kili Music Awards 2009 Nominations

  Mashindano ya Kili Music Award yameingia hatua ya mwisho baada ya kutajwa majina yaliyopendekezwa kuwania tuzo hizo kwa mwaka huu. Katika hatua hiyo, wasanii Judith...

 • Mbongo ndani ya “The Apprentice”

  Mtanzania Mona Lewis amechaguliwa katika mashindano ya kila mwaka ya The Apprentice ambayo huonyeshwa kwenye kipindi cha BBC kawaida kila Jumatano saa tatu usiku (9pm).