• Gray Mgonja Naye Kortini

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, ambaye yuko katika likizo ya kustaafu, Grey Mgonja, jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini...

 • Serikali Yala Sahani Moja Na Richmond

  Serikali imefungua uwanja mpya wa mapambano dhidi ya wabunge baada ya kutangaza wazi kwamba ina mpango wa kununua mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya...

 • Pinda Acharukia Semina Mashangingi

  Hatimaye, Serikali imesikia kilio cha muda mrefu cha walipa kodi juu ya matumizi makubwa yasiyo ya lazima serikalini katika ununuzi wa magari ya kifahari maarufu...

 • URA Yaiadhibu Mtibwa Tusker

  TIMU ya Mtibwa Sugar imeanza vibaya michuano ya Kombe la Tusker kwa kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mamlaka ya Mapato Uganda (URA). Jiunge...

 • Stars Yapokelewa Kishujaa Dar

  Maelfu ya mashabiki wa soka wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza katika mitaa mbalimbali ili kuilaki timu ya taifa, Taifa Stars iliyorejea nchini kutoka...

 • Jaji Aonya Kesi Ya Epa Isiwe Mzaha

  Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Kiongozi mstaafu, Amir Manento, ameitaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP)kupeleka ushahidi madhubuti na...

 • Maiti Yaibukia Mlangoni Mwa Mtu

  Ama kweli Jiji hili la Dar es Salaam linaloongozwa na Bwana Abbas Kandoro lina visa na mikasa, raha na karaha tele! Hebu fikiria mshtuko alioupata...

 • Polisi Na Lawama Za Majambazi

  Wakati matukio ya ujambazi yakizidi kutikisa Jiji la Dar es Salaam kila kukicha, polisi inakwepa lawama na sasa inawatupia wananchi mzigo kuwa hawatoi ushirikiano wakati...

 • Uchaguzi TFF Wajumbe Haoo Dar

  WAJUMBE mbalimbali wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wanaanza kuwasili leo, alisema Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Fredrick Mwakalebela. Jiunge...

 • Wambura Aruhusiwa Kugombea

  Baada ya kuipa shida kamati ya rufaa ya Shirikisho la Soka (TFF) wakati lilipojadili suala lake kuanzia alasiri hadi jana usiku, hatimaye Katibu mkuu wazamani...

 • ATC Wasimamishwa Kutoa Huduma

  SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL), ambalo limekuwa na matatizo makubwa tangu ndoa yake ya Shirika la Ndege la Afrika Kusini (SAA) ivunjike, limenyang’anywa cheti...

 • Watoto Waliouawa Walikuwa Wanafunzi

  Sakata la kuuawa kikatili kwa watoto wawili wa shule ya Msingi Manzese jijini Dar es Salaam, limeingia hatua mpya baada ya walimu na wanafunzi wa...

 • Majambazi yapora Gapco Magomeni

  Majambazi wanne jana saa 3:00 asubuhi walivamia kituo cha mafuta cha Gapco, kilicho katika makutano ya Barabara ya Morogoro na Kawawa umbali wa hatua zisizozidi...

 • Starz Kuandika Historia Mpya

  NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Joel Bendera amewataka wachezaji wa Taifa Stars wahakikishe wanaandika upya hishoria katika soka kwa kuibwaga Sudan na kufuzu...

 • Kisasa, Kaburu Wagaragazwa TFF

  KATIBU Mkuu wa Yanga, Lucas Kisasa ameangushwa katika mchujo wa kupata wawakilishi wa klabu wanaowania wadhifa wa makamu wa pili wa rais wa Shirikisho la...

 • Mramba, Yona Bado Wapo Rumande

  SIKU ya kwanza walipewa masharti magumu ya dhamana; baadaye wakakata rufaa na kushinda, lakini hawakutoka gerezani na Ijumaa kulikuwa na kasoro kwenye hati zao za...

 • Tanzania Waweka Alama Silaha

  TANZANIA imeanza kuweka alama katika silaha zote sambamba na nchi nyingine za Ukanda wa Maziwa Makuu na Pembe ya Afrika. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...

 • Albino Aibwa Na kukatwa Mapanga

  JITIHADA za Jeshi la Polisi kudhibiti mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, albino, zinahitaji kuongezeka kutokana na kutokoma kwa vitendo hivyo baada ya mwanafunzi...

 • Michuano ya U 17 Yasogezwa Mbele

  MICHUANO ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya miaka 17 yamefutwa baada ya Shirikikisho la soka la Afrika Mashariki na kati ‘CECAFA’ kuandika...

 • Yanga Yatuma Majina CAF

  Mabingwa watetezi wa soka wa Tanzania Bara, juzi walituma orodha ya wachezaji wake itakaowatumia katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika. kati ya wachezaji 28, wanne...