Archive for January, 2008
-
LATEST ARTICLES
 
featured image

Top Band VS Chidi Beenz safi sana!

by adminon January 31, 2008 - 1:04 am
Matamasha mbali mbali hufanyika nchini lakini idea ya kuandaa tamasha la Hip vs Bongo Fleva ni ya aina yake ambapo unaweza kuona jinsi wasanii wa Top  Band walivyoweza kuungana na msanii Chidi Beeeenz na kufanya makamuzi ya ain...

Waporaji Benki Kuu wafilisiwe – CCM

by adminon January 31, 2008 - 12:43 am
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imetaka wote watakaobainika kuhusika katika upotevu wa fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wafilisiwe mali zao zote ili kufidia fedha hizo.

Marekani yampa tuzo Mengi

by adminon January 31, 2008 - 12:30 am
MWENYEKITI wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi, amepokea rasmi tuzo inayoheshimika ya Martin Luther King. Mengi ambaye anakuwa Mtanzania wa nane kutwaa tuzo hiyo alikabidhiwa tuzo yake nq Balozi wa Marekani hapa nchini, Mark Gr...

Hospitali MOI kushtakiwa kwa upasuaji mwenye utata

by adminon January 31, 2008 - 12:29 am
NDUGU wa Wagonjwa waliofanyiwa upasuaji tata katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wako katika hatua za mwisho kuishtaki serikali mahakamani.

Muafaka wanukia Kenya

by adminon January 31, 2008 - 12:28 am
Hali ya matumaini ya kurejea kwa amani imejitokeza tena nchini Kenya baada ya Rais Mwai Kibaki na kiongozi wa Orange Democratic Movement (ODM), Raila Odinga, kila mmoja kuteua wajumbe watatu kwa ajili ya kuanza majadiliano ya k...

Moto wateketeza soko Morogoro

by adminon January 31, 2008 - 12:27 am
KILIO kikubwa kilitawala miongoni mwa wafanyabiashara wa soko la mitumba la Sabasaba baada ya moto ambao haujajulikana chanzo chake kuteketeza mali zote na maduka yanayozunguka soko hilo lililopo uwanja Sabasaba.

Bahari Beach yafungwa, watumishi wagoma kuondoka

by adminon January 31, 2008 - 12:25 am
HOTELI ya Bahari Beach, iliyo nje kidogo ya Dar es Salaam, imefungwa huku wafanyakazi wa hoteli hiyo wakigoma kuondoka wakidai kulipwa haki zao.

featured image

UKIMWI Virus Free Generation

by adminon January 29, 2008 - 3:39 pm
Kampeni kubwa inayotarajiwa kufanyika katika nchi mbali za Afrika na Ulaya kwa ujumla ikiwa inahusisha suala la Kizazi Kipya bila virusi inatarajiwa kufanyika na nchini Tanzania huku ikiwa imewahusisha wasanii wa nchi tano za A...

Sababu 3 Bush kuja Tanzania hizi hapa

by adminon January 29, 2008 - 3:23 pm
Mahusiano imara kati ya Tanzania na Marekani ni miongoni mwa sababu kubwa tatu zilizosababisha Rais George Bush wa Marekani kuja nchini mwezi ujao.

TRA kuchunguza waliochota BoT

by adminon January 29, 2008 - 3:23 pm
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeagizwa kufanya uchunguzi wa kina kubaini mienendo ya ulipaji kodi wa kampuni 22 zilizohusika katika ubadhirifu wa Sh bilioni 133 za Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kupitia akaunti yake ya Malipo...

Marekani haijui aliko Balali

by adminon January 29, 2008 - 3:22 pm
SERIKALI ya Marekani haijui aliko Gavana wa zamani wa Benki Kuu (BoT), Dkt. Daudi Balali na haina sababu ya kumfuatilia.

Mama Getrude Rwakatale ala kiapo

by adminon January 29, 2008 - 3:21 pm
Mchungaji Getrude Rwekatare leo asubuhi ameapishwa rasmi kuwa Mbunge wa CCM wa Viti Maalum, nafasi aliyopata baada ya kifo cha aliyekuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mheshimiwa Salome Mbatia.

Dereva wa waziri akatwa kichwa

by adminon January 29, 2008 - 3:20 pm
KITENDAWILI cha mahali aliko Tumaini Mbaga, dereva wa Naibu Waziri wa Usalama wa Raia, Mohamed Aboud, aliyetoweka siku 10 zilizopita katika mazingira ya kutatanisha, kimeanza kuteguliwa baada ya mwili unaoaminika kuwa wa dereva...

Kundi la majizi liitwalo `kapu bovu` laibuka Mwananyamala

by adminon January 29, 2008 - 3:19 pm
Kundi hatari la wezi linalotumia bastola na mapanga, limeibuka na sasa linawapeleka puta wananchi wa eneo la Mwananyamala na maeneo jirani ya Magomeni, Tandale, Kijitonyama, Mburahati na Kinondoni.

featured image

Miss Tanzania kuanza kazi mwezi ujao

by adminon January 28, 2008 - 4:50 am
Miss Tanzania Richa Adhia ataanza kufanya kazi za jamii mapema mwezi Februari na Machi kama ni sehemu ya kazi zake anazotakiwa kufanya kama mrembo. Mratibu wa Miss Tanzania Hashimu Lundenga alisema kuwa baada ya mapumziko ya si...

Lipumba arejea nchini, azungumzia ufisadi BoT

by adminon January 28, 2008 - 4:13 am
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amelishauri Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuunda kamati teule ya kuendeleza uchunguzi dhidi ya ufisadi ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Mwanasheria mkuu asema hajui lolote kuhusu Ballali

by adminon January 28, 2008 - 4:12 am
TIMU ya Rais ya Kuchambua Taarifa ya Ukaguzi wa tuhuma za upotevu wa mabilioni ya shilingi katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema haijui lolote juu ya aliyekuwa Gavana wa benki hiyo,...

Annan njia panda Kenya

by adminon January 28, 2008 - 4:11 am
Wakati aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (U.N.), Bw. Kofi Annan kwa mara ya pili jana alikutana na kiongozi wa Orange Democratic Movement (ODM), Bw. Raila Odinga katika juhudi za kutafuta amani nchini Kenya, imearifiwa ...