• Qchief kwa Pilato tena April 28!!

  Upelelezi wa kesi ya vifaa vya Manispaa ya Ilala vyenye thamani ya Sh Milioni 5,iliyokuwa ikimkabili msanii wa miondoko ya kizazi kipya Abubakar Katwila, au...

 • Chungwa langu lishaiva wazee…!!

  Msanii Suma Ismail Sadiq (SUMA LEE) mwenye maskani yake mkoani Tanga, amekamilisha albam yake ya kwanza itakayokwenda kwa jina la CHUNGWA.. Jiunge na Bongo5.com sasa...

 • Free Style!! Njooni hata 100….!!

  Msanii Albert Mangwair anayewakilisha kundi la (Chamber Squad) kutoka East Zoooo Babyyy, amejigamba kuwa mpaka hivi sasa anaamini hakuna kiumbe yoyote hapa Bongo anayeweza kusimama...

 • Warembo sita wajitokeza Miss Upanga

  Warembo sita wamejitokeza kushiriki katika shindano la kumsaka mrembo wa kitongoji cha Upanga, Miss Upanga 2006 ambalo limepangwa kufanyika Mei 20 jijini Dar es Salaam....

 • Choki: Hatuna uhasama na Chipolopolo

  Ali Choki amesema Twanga Pepeta haina uhasama na Twanga Chipolopolo kama ambavyo imekuwa ikidhaniwa. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 • TOK launches Tanz Music Awards 2006

  TOK band members were suprise guests and subsequent chief guests during the launch of the Kilimanjaro Lager Tanzania Music Awards 2006 at the NSSF Waterfront...

 • Wasanii wajiunga kusaidia njaa..

  Muungano wa wasanii kibao nyota wa miondoko mbalimbali ikiwemo Bongo Flava wako kwenye mazoezi makali kwa ajili ya kurecord albam ya pamoja ya kuchangia mfuko...

 • Tanzania Music Awards yanukia

  Tuzo za Tanzania Music Awards kwa mwaka huu 2006 na ambazo hudhaminiwa na Tanzania Breweries kupitia bia yake ya Kilimanjaro zitatolewa May mwaka huu. Jiunge...

 • Ubaguzi kuliua TMK Wanaume?

  Siku chache baada ya kulalamikiwa kinoma na wadau wa muziki kwa kitendo cha kundi la Wanaume TMK kujitangaza hadharani kuwa linavuta bangi,mdudu mwingine ameanza kulimega...

 • South African crowned Miss Tourism Model 2006

  South African Henri Van Schalkwk defeated other 76 aspirants to win the Miss Tourism Model of the World 2006 title in Dar es Salaam Saturday...

 • O-Ten naye awamwaga Wadosi..

  Msanii O-Ten kutoka team ya East Coast Army iliyopo Upanga jijini Dsm, amepanga kutoingiza albam yake mtaani ili angalau mkwanja wake utokane na makusanyo ya...

 • Dudubaya na Kalapina Wazichapa!!

  Tokea mwaka huu wa 2006 umeanza hatukubahatika kusikia ugomvi wowote baina ya wasanii wetu kama tulivyozoea,akini katika hali ya kusikitisha na ambayo pia inamhusisha kwa...

 • Video mbili zaingia MTV Base..!

  Video za wasanii wawili wa Bongo Flava Juma Nature pamoja na Langa wa lililokuwa kundi la zamani la Wakilisha Pop Stars,zimetinga ndani ya Channel ya...

 • WaGoSi na nyie kwa kupakaza!!

  Kundi la Wagosi wa Kaya ambalo mara zote limekuwa likiheshimika na jamii kwa nyimbo zao ambazo kwa namna moja au nyingine zimekua zikiilenga jamii na...

 • “PAMOJA ndani ya Game” out in March / Other Albums to Grab

  Twende Kazi Entertainment and MJ Records have teamed up to produce a very hot and exciting Bongo Flava album. The album that is a compilation...