Burudani

2 Chainz kutumbuiza Kenya mwezi ujao

Afrika Mashariki inatarajiwa kuwa na ugeni wa mastaa wa hip hop nchini Marekani mwezi huu na ujao.

2-chainz-arrested-in-los-angele

Wakati T.I. akitarajiwa kutumbuiza jijini Dar October 18, rapper 2 Chainz atatua jijini Nairobi, Kenya mwezi ujao.

Rapper huyo ambaye jina lake ni Tauheed Epps atatumbuiza November 1 kwenye Ngong Racecourse. Wasanii wa Kenya watakaotumbuiza ni pamoja na Kaligraph Jones na Kristoff.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents