Habari

‎Grace Matata na TK Nendeze wote wapata watoto, Guess yupi kazaa na Duke?!!

Studio ya MLAB imepata baraka miezi ya hivi karibuni baada ya wasanii wake wa kike, Grace Matata na TK Nendeze kupata watoto.

Kitu cha kuvutia hapo ni kwamba mmoja wa wasanii hao amejifungua mtoto na producer wake, Duke!! Can you guess? Well ni TK Nendeze. Tumejuaje? Ni kupitia picha iliyowekwa jana na TK Nendeze kwenye Facebook inayomwonesha akiwa mwanae huku ikiwa na maelezo yasemayo, “baby D jr na mommy.”

Baby D Jr? So who is D Senior ambaye ni baba yake? Comments zikatoa jibu! “Aaawwww Duke Jr. Sooooo adorable,” aliandika mmoja wa marafiki wa TK.

Pia rapper Nikki Mbishi hivi karibuni aliandika kupitia Facebook, “Grace Matata mwanawe ataitwa Songa wakati TK Nendeze mwanawe akiitwa Ghéttò Ambåssådór Tz……hahahaha!!!Hao watoto watakuwepo NEW MSASANI CLUB kushuhudia SHOW CASE ya uzinduzi wa albums 3 na mixtapes 2 za wasanii toka M-LAB,31th August 2012!!!”

Jana Grace Matata aliandika status Facebook na kutaja jina la mwanae.
“I look at Ella and i think, how does it happen? How do we get from here, so innocent, so new to where i am, so tainted, so damaged? How?”

Kitu kimoja cha uhakika, ni kwamba Grace aliyetamba na wimbo wake ‘Free Soul’ anafurahia kuwa mama kama alivyosema hivi karibuni.

“You see the world in a whole new light once you are a mother.”
Hongera Grace Matata na TK Nendeze kwa kuwa ‘Mama’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents