37 mins ago
TUCTA kuja na gazeti la Mfanyakazi, Rais Samia kulizindua Mei Mosi
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limesema kuwa linaanza kutoa rasmi gazeti maalum ambalo litazungumzia masuala mbalimbali ya wafanyakazi…
1 hour ago
Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,082
RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1,082 ambapo 29 kati yao wameachiwa huru jana na wengine 20 waliokuwa…
2 hours ago
Shule Huria ya Skillful yafanikiwa kufaulisha wanafunzi 650 kujiunga na vyuo vikuu
MWASISI wa Shule ya Sekondari Huria ya Skillful, Diodorus Tabaro amesema kuwa tangu shule hiyo ianzishe miaka 18 iliyopita imefanikiwa…
2 hours ago
Wazazi watakiwa kuacha tabia ya kuwatolea lugha zisizofaa Watoto wanaoteli mitihani
WAZAZI na walezi nchini wamesisitizwa kuacha tabia ya kuwatolea lugha zisizofaa watoto wao wanaofeli mitihani yao hasa ya kitaifa na…